Friday, October 16, 2015

Anonymous

Baadhi Ya 'Vituko' Vilivyopo Ndani ya Daftari la Wapiga Kura...Picha Zimepigwa Jana Wakati UKAWA Wakiongea na Waandishi wa Habari


Huyu Kaandikishwa kwa jina la GGGHUH GGJGJHGHG GGHGGGHG


Mwangalie vizuri mzungu na majina yake. Picha ya pembeni kulia ni kitu cheusi na siyo sura ya mtu
 
Angalia Jina na hiyo picha. Kwa kuiangalia sidhani kama ni picha ya binadamu
 
Tazama majina na picha



Hizi picha mbili za kulia sio za binadamu. Moja ni kama ya mlango, nyingine ni weusi tu unaonekana



USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.