10 PICHAZ: Shuhudia DK MAGUFULI Alivyofanya Katika Ngome ya CCM Mjini Dodoma!
Mgombea urais wa Tanzania kwa
tiketi ya CCM, Dk John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Dodoma
kwenye mkutano wake wa kampeni.
Msanii maarufu wa Bongo fleva, Ally Saleh Kiba ‘King Kiba’ akitoa burudani kwa wakazi wa Dodoma wakati wa mkutano huo.
Msanii maarufu wa Bongo fleva, Khaleed Ramadhan Tunda ‘Tunda Man’ naye akifanya yake.
Magufuli akiomba ridhaa kwa Wanadodoma.
Chege na Temba wakikamua jukwaani.
Magufuli akiendelea kujinadi kwa wakazi wa Mkoa wa Dodoma jioni ya leo.
Sehemu ya umati wa watu waliofika kwenye mkutano wa Dk Magufuli, Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
Mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya
Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John pombe Magufuli leo akiwa katika Mkoa
wa Dodoma ambao ni wa 18 kufanya kampeni zake, amefanya mikutano katika
vijiji na majimbo mbalimbali.
miongoni mwa vijiji hivyo ni Mbande,
Chunyu, Mpwapwa, Kongwa, Kibaigwa, Chalinze, Njia Panda ya Chamwino na
kumalizia na mkutano ulihudhuliwa na maelfu ya wananchi katika uwanja wa
Jamhuri mjini Dodoma.
PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL ALIYEKO DODOMA
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Note: Only a member of this blog may post a comment.