Mapema leo staa wa Bongo Movies, Jacqueline Lowassa kupitia kurasa
wake kwenye mtandao wa Instagram aliandika haya akitoa udhuru wa
kutohuduria 40 ya mtoto wa staa wa Bongo Fleva Diamond Platnum, Tiffah
iliyofanyika leo nyumbani kwa Diamond.
40 ya Tiffah Lee Queen Asante bwana Demonde kwa mualiko
..ila ulivyomswahilI kila mualiko nakua nakamtoko au nakua sipo kabisa
Dar sasa kivumbi pale kwenye harusi yangu ule mualiko sasa
utakavyojisafirisha ili kunilipizia usifanye hvyo mambo yanaingiliana..lol
...hongera sana Naseeb najua furaha uliyonayo Mungu kukuzia Tiffah
wako...coz ilikua ni ndoto katika maisha yako kua na mtoto kikubwa Mungu
akusimamia kwenye sherehe kuna Mambo mengi so nakuombea uanze salama na
umalize salama nawale wageni waalikwa wakose chakukosoa maana
tunajijuaga…@diamondplatnumz usisahau kutoroka bado ujachelewa
Jacqueline Wolper “@wolperstylish on Instagram

Note: Only a member of this blog may post a comment.