Sunday, September 20, 2015

Anonymous

Wasanii TZ Kuhamia Kwenye SIASA na Kusahau Kazi Yao...GABO Afunguka Haya....


Mcheza filamu Salim Ahmed ‘Gabo’ amesema sanaa haitakufa  licha la wimbi la wasanii wake  kujikita katika maswala ya siasa kwa sasa, kwasababau wapo amabo wameamua kuiendeleza kwa kwenda mbele. 

Gabo amesema pamekuwa na wasiwasi  kwamba fani ya filamu haitaweza  tena kuwa pale ilipokuwa baada ya kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwezi ujao kutokana na wasanii wengi kuwania kuingia Bungeni  na chuki baina yao.

Maishani kila mmoja ana maamuzi yake, alisema Gabo , na ndiyo  maana ana chofikieria yeye  ni kusogeza mbele  fani ya filamu kwani  ndiyo chanzo  kikuu cha mapato yake, alisema.
“Watu wasikae na kusema soko la filamu  litakufa  kwa sababu  baadhi ya wasanii wameiweka pembeni,”alisema.
Chanzo: Lete Raha

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.