Friday, September 18, 2015

Anonymous

Sugu Mgombea Ubunge CHADEMA (UKAWA) Apigwa Mawe Mbeya MJINI, Aahirisha Mkutano!


Mheshimiwa Sugu alipigwa mawe na gari lake kuharibiwa wakati akienda kata ya Iziwaa jiji Mbeya; kutokana na vurugu hizo ; 

Sugu kahairisha kampeni .

Gari la Mgombea Ubunge jimbo la Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi Sugu likiwa kituo cha Polisi kati jijini Mbeya mara baada ya kushambuliwa kwa mawe na watu wanaosadikiwa kuwa ni wafuasi wa CCM

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.