Mgombea
wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli(katikati) akiwanadi
Mbunge wa Handeni Mjini Dk. Abdallah Kigoda (kulia) na Mgombea wa Ubunge
Jimbo la Handeni Vijijini Ndugu Mboni Mhita kwenye mkutano wa kampeni
uliofanyika kwenye uliofanyika kwenye uwanja wa Azimio Center.
Mgombea
wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi mgombea
wa ubunge jimbo la Handeni mjini Dk. Abdallaha Kigoda.
Mgombea
wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea wa
ubunge jimbo la Handeni Vijijini Ndugu Mboni Mhita.Mgombea
wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akisoma bango la
vijana wafanya biashara ndogo ndogo wa eneo la Dumila maarufu kama Feri
wakati akielekea mkoani Tanga ikiwa muendelezo wa mikutano ya kampeni za
CCM .
Wananchi wanaoishi eneo la Dumila wakimsikiliza Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli
Mgombea
wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuliakimnadi mgombea wa
ubunge jimbo la Mvomero Sadiq Murad kwenye mkutano wa kampeni za CCM
uliofanyika Mvomero, mkoani Morogoro.
Wanachama
wa CCM wakionyesha mabango ya mgombea wao wa Ubunge Ndugu Sadiq Murad
kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Kihalawa,Turiani
mkoani Morogoro.
Mzee
Yusuph Makamba akihutubia wakazi wa Turiani mkoani Morogoro kwenye
mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea wa CCM pamoja na sera za CCM kwa
wananchi wa Turiani.
Kikundi
cha akina mama wahamasishaji kikiingia uwanjani kwenye eneo la mkutano
wa kampeni za CCM Turiani ambapo Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk.
John Pombe Magufuli alihutubia.
Wazee wa Turiani wakimsikiliza kwa makini Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Mgombea
wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuliakihutubia wakazi wa
Turiani mkoani Morogoro na kuwaambia atahakikisha migogoro ya ardhi
inamalizika na kuileta jamii kuishi kwa amani na upendo.
Mgombea
wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuliambapo aliwaambia
wananchi hao ataunda baraza dogo la mawaziri lakini pia atahakikisha
barabara zinakamilika kwa kiwango cha Lami.
Wakazi
wa Turiani mkoani Morogoro wakimsikiliza Mgombea wa Urais kwa tiketi ya
CCM Dk. John Pombe Magufulikwenye mkutano wa kampeni.
Wananchi wakiinua mikono kuonyesha kukubaliana na Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli
Mgombea
wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi ilani ya
uchaguzi mgombea ubunge wa jimbo la Mvomero Ndugu Sadiq Murad.
Mama akifurahia jambo kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Turiani mkoani Morogoro.
Wakazi wa Kwaluguru wakimsubiri Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli afike na kuwasalimu wakazi hao.
Mgombea
wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea
ubunge jimbo la KilindiOmari M. Kigua wakati wa mkutano wa kampeni
uliofanyika Kwaluguru.
Wakazi wa kijiji cha Bandari kata ya Kimbe wakimsikiliza Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Wakazi wa Songe wakifurahia ujio wa Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli
Mgombea
wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa
Songe ambapo aliwaambia wananchi hao katika uongozi wake atasimamia
haki kwa wananchi wote na kuhakiisha huduma zote za msingi zinapatikana.
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Kibirashi
Msafara wa Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli ukiwasili Kwediboma.
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuliakihutubia wakazi wa Kwediboma.
Wananchi
wa Handeni wakishangilia jambo kwenye mkutano wa Kampeni za CCM
uliofanyika kwenye uwanja wa Azimio Center mkoani Tanga.


























Note: Only a member of this blog may post a comment.