Tuesday, September 8, 2015

Anonymous

7 VIDEOS: Shuhudia GWAJIMA Alivyomlipua Dr SLAA, Atoa ONYO Kwa Usalama wa Taifa...Walinzi, Wachungaji Wasimulia Jinsi Dr. SLAA Alivyorubuniwa na Mkewe

Askofu Josephat Gwajima amezungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam kuhusu Tuhuma alizopewa na aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa
Hapa kuna video 7 za mazungumzo yote ya Gwajima
Video ya kwanza: Gwajima akisimulia alivyojuana na Dr Slaa.
Video ya Pili: Mchungaji Gwajima asema Urafiki wao ulianzia pale Dr. Slaa alipomuomba walinzi kutoka kanisani akihofia kulindwa na polisi.
Video ya 3: Mchungaji Gwajima amesema kauli za Dr. Slaa kuhusu ujio wa Lowassa CHADEMA si za kweli akibainisha kuwa aliyemtaka Lowassa ni Dr. Slaa.
Video ya 4: Mchungaji Gwajima amethibitisha kwa kumwita mlinzi wake atoe ushahidi kuwa Dr. Slaa alifukuzwa na mkewe baada ya kumkaribisha Lowassa ndani ya CHADEMA.
Video ya 5:Gwajima akionyesha vielelezo vya mazungumzo yake na Dk.Slaa alipotupiwa mabegi nje na mkewe.
Video ya 6:Wachungaji waeleza namna mke wa Dk.Slaa alivyokuwa na mchango mkubwa wa maamuzi ya Dk.Slaa
Video ya 7: Gwajima amehitimisha kwa kutoa ujumbe mzito kwa usalama wa taifa

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.