vSeptember 12 ni siku ambayo Ligi
Tanzania itazinduliwa rasmi kwa michezo kadhaa kupigwa, lakini
millardayo.com inakuweka karibu na moja kati ya michezo ya Ligi Kuu.
African Sports ya Tanga inaikaribisha Simba Sports Club ya Dar Es Salaam
hii ndio habari ya mjini kwa hapa Tanga.
Nakusogezea picha 22 za mwanzo kutoka Uwanja wa CCM Mkwakwani

Note: Only a member of this blog may post a comment.