Jana CCM Wamefanya mkutano wa hadhara huko Chato mkoani Geita ambapo makada mbalimbali wa chama hicho walipanda jukwaani kumnadi mgombea urais wa CCM, Dr. John Pombe Magufuli.
Miongoni mwa makada hao ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita, ndg Joseph Musukuma ambaye alikuwa ni rafiki wa karibu wa Edward Lowassa akiwa bado hajahama CCM. Akihutubia Maelfu ya wanaChato, mwenyekiti huyo aliwashambulia Ukawa kwa kununua Watu ili kujaza mkutano wao wa kampeni uliofanyika hapo Chato wiki iliyopita.
Aidha, Mwenyekiti huyo alienda mbali kiasi cha kugusia afya ya Mgombea wa UKAWA, Ndg Lowassa kwa kudai kuwa Alijinyea pale Stendi ya Chato.
Tazama video hiyo hapa, pia waweza i-download
Tazama video hiyo hapa, pia waweza i-download


Note: Only a member of this blog may post a comment.