Kusomesha ni jukumu la mzazi, sio mume, mchumba au boyfriend. Kozi
pekee wanayotakiwa kusomeshwa hawa wenzetu ni cookery (mapishi), driving
kwa ajili ya kuendesha lile gari la mkopo apeleke watoto shule na
kuendea sokoni na sayansi kimu tu, zingine unajitafutia presha.
Wengi wamelizwa huko vyouni, wanakutana na watu wa kila aina kuanzia serengeti boys mpaka veterans wa mapenzi wenye hela zao na wanaojua Kujali...Msichana Atajifanya Mgumu Mwaka wa kwanza tu akishazoea ni Mteremko wa Kitonga hasa wake za watu, wengine ndio dharau zinaanzia hapo na ndoa au penzi kuisha.
Mwenye masikio na asikie na Mwenye Kubisha hili aje Hapa...

Note: Only a member of this blog may post a comment.