Imelda Mtema NYOTA mkubwa
katika Bongo Movies,Vincet Kigosi ‘Ray’ ameweka wazi kuwa Chuchu Hans,
ambaye ni mpenzi wake wa muda mrefu, si mpita njia, bali ni mwanamke
anayesubiri ndoa kwa kuwa ana sifa zote za kuwa mke.
“Kama hivi, mimi nimekuja hapa kwenye shughuli ya ZIFF, kitu hiki kinanihusu peke yangu, hakuna haja ya kumsumbua kuja naye, yule ni mke, siwezi kumtembeza pasipo ulazima wa kutufanya kuwa pamoja,” alisema.

Note: Only a member of this blog may post a comment.