Friday, September 4, 2015

Anonymous

KAJALA Aangusha Pati ya Milioni 7...Kisa?! Shuka Nayo Hapa....

Na imelda mtema
Staa wa filamu Bongo, Kajala Masanja juzi kati aliangusha bonge ya pati iliyogharimu takriban shilingi milioni saba ikiwa ni sehemu ya kujipongeza kwa kazi ngumu ya ujaji aliyokuwa akiifanya kwenye shindano la kusaka vipaji la Kinondoni (K.T.S) ambapo kwenye pati hiyo watu walikunywa, kula na wengine walilewa kwa pombe kali.

Staa wa filamu Bongo, Kajala Masanja akiwakaribisha wageni waalikwa.
Akichonga na Ijumaa, Kajala alisema aliamua kufanya pati hiyo kwa sababu kazi aliyokuwa nayo haikuwa rahisi lakini pia ilikuwa ni lazima awapongeze washiriki wote walioingia fainali.
“Nimeona nami nitumie fursa hii kuwapongeza washiriki wote waliongia kwenye fainali ya shindano hilo, pia ni muda muafaka wa kuongea nao mambo machache niliyoahidi kuwafanyia,” alisema Kajala.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.