WASIFU WA MAMA SHUPAVU ANNA MUGWIRA - MGOMBEA URAIS WA ACT - WAZALENDO.
1. Mwaka 2010 alijitosa kinyang'anyiro cha ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki AKASHINDWA na Jeremiah Sumari,
2. Mwaka 2012 kwenye uchaguzi mdogo wa Arumeru akagombea tena Ubunge lakini AKASHINDWA na Joshua Josh Nassari,
3. Mwaka huohuo akagombea Uenyekiti wa Baraza la Ardhi Tanzania, AKASHINDWA. Baadae akateuliwa kuwa mjumbe,
4. Akagombea ubunge wa Afrika Mashariki, AKASHINDWA,
5. Wakati akiwa Chadema, akagombea Uenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Arusha, AKASHINDWA.
6. Akakimbilia Singida, akagombea Uenyekiti wa BAWACHA Mkoa, AKASHINDWA tena.
7. Baada ya kushindwa Arusha na Singida akaamua kugombea nafasi ya Katibu Mkuu taifa wa BAWACHA, AKASHINDWA kwa kupata kura mbili.
8. Wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka jana, akaomba akabidhiwe Jimbo la Singida Mjini, akapewa unahodha na CHADEMA. Akaunda timu ya kampeni ya watu 20, akapewa magari na njenzo nyingine za kazi. Kati ya mitaa 51 na vijiji 16, akafanikiwa kupata mjumbe mmoja - SIO MTAA.
9. Hatimaye akahamia ACT na afanikiwa kufanywa Mwenyekiti wa Taifa,
10. Na sasa ndiye mgombea urais wa ACT-Wazalendo.
Halafu bila aibu Mchange anasimama Jukwaani jana na kusema Lowassa ana tamaa ya Madaraka. Hivi nani mwenye tamaa kati ya hawa wawili?? Tehtehteh Twende na mama. Mwaka huu ni zamu ya mama.!

Note: Only a member of this blog may post a comment.