Mke wa rapper Mr. Blue, Wahyda ameelezea jinsi hitmaker huyo wa Pesa
alivyobadilisha maisha yake kwa kujaza furaha ndani ya familia yake.
“Baba wawili, baba watoto wangu, uko tofauti sana wacha nikupende
daddy ur care & love ts undefine,” ameandika Wahyda kwenye
Instagram.
“Unanipenda nikiwa mzima unanipenda zaid nikiumwa..unanipenda kwenye
raha unanipenda na kunijar zaid when I ve problems de same I…thank yew
for ur support for being with me since day 1 during Khairriyah’s
Pregoo..xorry kwa kukusumbua kudai sekela ucku ucku..urud nikusumbue
tena kulea but seriously I Love you before,I love yew today & I love
yew tomorrow..u ll alwys be iny heart no matter what,” aliongeza.
Katika wakati mwingine pia Blue amewahi kueleza hisia zake juu ya mke
wake na hadi kudai kuwa amembadilisha kiasi cha kuacha kutumia kilevi
na kuvuta bangi.
Note: Only a member of this blog may post a comment.