oung Dee amesema ana mpango wa kumshirikisha Diamond Platnumz au Patoranking wa Nigeria.
Young Dee ameiambia Bongo5 kuwa yupo kwenye mpango huo ila ukifika muda muafaka kila kitu kitakuwa wazi.
“Hii bado muda wa kuanza kuizungumzia, we are looking forward for
that. Lakini siwezi kuizungumzia kwa sasa hivi. Mikakati ipo na
tunaifanyia kazi, lakini time yake haijafika ya kuizungumza,” amesema
rapper huyo.
-via Bongo5

Note: Only a member of this blog may post a comment.