Najua nina watu wangu wanataka kufahamu ni nchi ipi inayoongoza kwa
rushwa duniani, sasa basi leo nimekusogezea nchi 10 zinazoongoza kwa
rushwa duniani;
nafasi ya kumi ni Eritrea
Nafasi ya tisa (9) ni Libya
Nafasi ya nane (8) imetajwa kwamba ni Uzbekistan
Nafasi ya saba (7) imetajwa kwamba ni Turkmenistan.
Taifa la Turkmenistan imeshika nafasi ya saba haishangazi kwa kuwa
eneo ambalo taifa hili lipo ni eneo la hatari linazungukwa na mataifa
ambayo kwa jumla yake yametengeneza orodha hii ya mataifa yanayoongoza
kwa rushwa.
Nafasi ya sita (6) imetajwa ni Iraq
Nafasi ya tano (5) ni South Sudan
Nafasi ya nne (4) ni Afghanistan
Nafasi ya tatu (3) ni Sudan
Nafasi ya pili (2) imetajwa ni North Korea
Nafasi ya kwanza (1) imetajwa ni Somalia
Unaweza uka bonyeza play au download kusikiliza nchi hizo 10 zinazoongoza kwa Rushwa

Note: Only a member of this blog may post a comment.