Friday, September 11, 2015

Anonymous

DK MAGUFULI Kunani Tena, Mbona Umewaongopea Watanzania Mapema Hivi?!

 Dk Magufuli akiwasili kuanza kampeni katika mkoa wa Mara baada ya kumaliza katika Mkoa wa wa Tanga.
Nakumbuka mwanzoni aliahidi kutumia usafiri wa gari katika pande zote za Tanzania! Mwenye macho haambiwi tazama, hiyo picha hapo juu inajieleza tosha yenyewe! 
Swali kubwa hapa ni: Kimemsibu nini tena kuyakacha magari mapema hivi?! 
Toa maoni yako hapo chini!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.