Friday, September 4, 2015

Anonymous

Ajali Nyingine ya Nyumba Kuteketea Moto Dar Imesikika Kwenye Hekaheka…(Audio)

Wiki chache zilizopita kulitokea ajali mbaya ya moto iliyoteketeza familia ya watu tisa Dar es salaam.
Usiku wa kuamkia leo tukio jingine la moto limetokea eneo la Mwanayamala na kuteketeza nyumba na kila kitu chanzo kikidaiwa ni hitilafu ya umeme.

Majirani wamesema moto huo umetokea majira ya saa 10 usiku na Zimamoto waliweza kufika ingawa hawakuokoa kitu chochote baada ya vyote kuteketea moto.
Wasikilize hapa majirani walioshuhudia tukio zima wakizungumza na HekaHeka..

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.