Soudy Brown kapata tetesi kuwa staa wa kipindi cha vichekesho cha Futuhi kinachorushwa na StarTV Sharobaro wa Kihaya amekuwa na uhusiano na mwanamke wa rafiki yake..akaona apate ukweli kuhusu malalamiko hayo.
Rafiki wa Sharo wa Kihaya amesimulia na kusema yeye na mshikaji
walikua marafiki, na alikua akimkaribisha nyumbani mara kwa mara, lakini
alikuja kushangaa wamekuwa karibu kiasi cha jamaa kununuliwa gari na
mke wa wake…
Wasikilize hapa kwenye Uheard..

Note: Only a member of this blog may post a comment.