Mwenyekiti wa Chdema Taifa,
Freeman Mbowe akihutubia wajumbe wa Baraza Kuu katika ukumbi wa
mikutano wa LAPF, Makumbusho jijini Dar mchana huu.

Kikao cha Baraza Kuu la Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinaendelea hivi sasa katika ukumbi wa
mikutano wa LAPF uliopo Makumbusho jijini Dar es Salaam.
Akihutubia katika mkutano huo,
Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe amesema chama hicho
hakiendeshwi kwa siri, kinaendeshwa kwa mikakati.

Note: Only a member of this blog may post a comment.