WATANZANIA TUJIPANGE KUMPINGA LOWASSA KWA NGUVU ZOTE.
Ni napenda kuungana na watanzania wote hususani wanachama wa vyama vinavyounda UKAWA ambao wengi wao wamestushwa, kukerwa na kushangazwa na kile kilichofanywa na viongozi wa UKAWA ambacho kimeonyesha wazi kuwa umoja huo hauna uzalendo KWA Taifa bali viongozi waliopo katika umoja huo wamejawa uchu wa madaraka na ubinafsi uliokithiri. Ni nani asiyejua ndani ya Nchi hii uchafu ulioanikwa na viongozi hawa hawa wa Ukawa juu ya edward Lowassa? Hali hii imenifanya naamini kuwa kwa sasa siasa imevamiwa na maharamia.
LAKINI NINI KINAMSUKUMA LOWASSA KUSAKA URAIS HATA KUPITIA CHAMA CHA CHADEMA?
KATIKA uhalisia ni wazi kuwa Lowassa ametumia pesa nyingi KATIKA mchakato wa Uchaguzi kuliko hata gharama ya kuendeshea TUME ya Uchaguzi. Je pesa hii aliitoa wapi?
Duru za uhakika zinasema pesa hiyo ilichangwa na wa fanya biashara wakubwa nchini, makampuni makubwa nje ya Nchi, na Nchi za kigeni zenye uchu wa kuunda mikataba ya kuchuma raslimali mbalimbali humu nchini. Makubaliano ya kutolewa pesa hiyo ni kwamba Lowassa atakapo fanikiwa kushinda watu hao watapewa fursa za uwekezaji na makampuni kadhaa yatasamehewa kodi huku Nchi kadhaa zikiahidi kutoa misaada mdogo mdogo KWA wananchi kwa tenda za "Dili" za Serikali. Hali hii ni hatari sana kwa wananchi wa hali ya chini.
KWANINI LOWASSA KAHAMIA CHADEMA?
Kuhamia kwa Lowassa CHADEMA tunaweza kusema ni haki yake kikatiba lakini uhalisia ni kwamba Shinikizo kutoka kwa watu waliowekeza kwa Mgombea huyu KWA kutoa mabilioni ya fedha ndio kunamfanya agombee kwani wafadhiri wa harakati hizo wamegoma kumuelewa kabisaa Lowassa kwani aliwahakikishia kuwa lazima atapitishwa na CCM hivyo kuwa fanya wamwage pesa wakijua wazi wanapalilia "deal".
Baada ya kukatwa kwa Lowassa ndani ya CCM wawekezaji hawa KATIKA siasa walishinikiza kurejeshewa pesa zao lakini Mzee Lowassa asingeweza kuwarejeshea pesa hiyo. Kilichofuata yalikua mazungumzo kati ya Lowassa na CCM akiwaomba basi wamsaidie kulipa mabilioni hayo ya Pesa lakini Chama cha Mapinduzi kilisema KWA msimamo kuwa hakitolipa Pesa hiyo na hakuna sababu ya kulipa Pesa isiyo na manufaa kwa watanzania. Sasa hali ilikua ngumu baada ya baadhi ya wafadhiri kuamua kumfirisi Lowassa au kumtaka ajitose KWA gharama yoyote kuingia kwenye kinyang'anyiro cha Urais kupitia upinzani. Hii INA maana Lowassa ameingia upinzani kwa shinikizo la Wafadhiri wake ili kutetea maslahi ya Wafadhiri hao.
Hapo nadhani watanzania tuwe wazalendo kwa Taifa, pingeni kwa uwazi ujio wa Fisadi LOWASSA katika kivuli cha UKAWA. Ninawapongeza wana Ukawa wanaozidi kustukia mchezo kila dakika iendayo kwa Mungu. Tuungane kutetea raslimali mbalimbali za Nchi Yetu, tusikubali kuuza Nchi Yetu.
-JF

1 comments:
Write commentsNingependa kujua jambo moja,tokea Edward Luassa kutoka madarakani hali ya ubabaishaji umepungua ,ukovilevile au Umezidi? nimeuliza swali hili kwa nia njema jibu lolote likitoka ningependa kufahamu Nini tatizo?
ReplyNote: Only a member of this blog may post a comment.