Mwanamuziki
wa miondoko ya mduara ambaye kwa hivi sasa anatumikia kifungo cha mwaka
mmoja kilichotolewa na Baraza la Sanaa Basata ya kutojihusisha na
shughuli za kisanaa mpaka mwaka mmoja, kitu ambacho kimemuumiza sana na
kudai kuwa akiiba mume wa mtu atakuwa anakosea pia!
Akizungumza na paparazi wetu, Shilole alisema kuwa adhabu aliyopewa ni kubwa mno kiasi ambacho anashindwa kuelewa kwa kuwa sanaa ndiyo kazi inayompatia kula na hata kuwasomesha watoto wake hivyo kumfungia mwaka mzima ni kama kumtuma kutembea hata na waume za watu ili maisha yake yazidi kusonga mbele.
“ Mimi naona sasa wananituma kuanza kusaka waume za watu kwa kweli kwa sababu mwaka mzima kweli na ni kazi ambayo naitegemea kwa kila kitu katika maisha yangu kwa nini mtu usiwaze vitu vingine kama huna kazi ya kufanya jamani, yaani inaniuma sana,” alisema Shilole.

Note: Only a member of this blog may post a comment.