Baada ya ile sauti ya Nuh Mziwanda akidaiwa kuzungumza na Wema Sepetu kuvuja sana kwenye mitandao ya kijamii, leo Nuh amezungumza na kusema ni uvumi.
Nuh amezungumza na Soudy Brown na kusema iyo sauti ni watu wanatafuta
wameamua kuitengenzea kwa masilahi yao wenyewe na si yeye kama
inayodaiwa, amesema hakuna kitu kama hicho, na hataki kuongelea sana
mambo hayo.
Amesema imemuharibia sana na hata simu yake kuvunjwa na Shilole pia,
nguvu ya kufanya kazi kwake imepungua..na anaamini watu waliofanya hivyo
ni anaokutana nao na kuchekea nao kila siku.
Msikilize mwenyewe akizungumza na Soudy Brown hapa…

Note: Only a member of this blog may post a comment.