Tunafahamu
kuwa kuna baadhi ya wasanii kwenye tasnia ya Bongo Movie wao
walishatangaza hivi karibuni kuwa imani yao katika uchaguzi mwaka 2015
wanaamini CCM kitashinda kupitia mgombe wake Dk. John Pombe Magufuli.
Agosti 4, 2015 kupitia kwenye mtandao wa instagram mwigizaji Aunt Ezekiel ameamua kuyatoa ya moyoni na kumtaja mgombea wa urais ambaye anaimani naye kwenye uchaguzi wa mwaka 2015 kwa kuyaandika haya >>> ‘Tunaimani na Lowassa..Mungu bariki Tanzania, Mungu bariki Africa‘
Tazama kipisi cha video hapo chini alichotupia mtandaoni mdada huyu!

Note: Only a member of this blog may post a comment.