Katika pita pita zangu mtandaoni nimekutana nayo hii ya mastaa wa soka wanaovaa vizuri na wasio vaa vizuri, yaani kwa maana nyingine ni kuwa wanaopendeza na wasiopendeza, kwa mujibu wa mtandao wa michezo wa ESPNFC umetaja list ya mastaa ambao wanatupia ila wamo ambao wasiopendeza licha ya kuwa na uwezo mkubwa uwanjani sio kila kitu utakiweza.
Uwezo wao haukuishia uwanjani pekee hadi katika masuala ya mavazi wameonekana kupendeza zaidi

Andrea Pirlo mchezaji wa New York City

Xabi Alonso mchezaji wa FC Bayern Munchen

Gerard Pique kutokea katika klabu ya FC Barcelona

Cristiano Ronaldo wa Real Madrid
Umahiri ni uwanjani ila katika masuala ya mavazi wapo nyuma na wanatajwa kutopendeza kwa mavazi hayo kwa mujibu wa fashion police wa ESPNFC

Neymer da Silva kutokea FC Barcelona

Dani Alves wa FC Barcelona

Lionel Messi mchezaji wa klabu ya FC Barcelona

Alexandre Song mchezaji wa FC Barcelona
Mwisho kabisa Fashion Police wameshindwa kuwatambua Karim Benzema na Mario Balotelli wawe kundi lipi la waliopendeza au wasiopendeza

Mario Balotelli kutoka Liverpool

Karim Benzema mchezaji wa klabu ya Real Madrid

Note: Only a member of this blog may post a comment.