Saturday, August 15, 2015

Anonymous

PICHAZ+VIDEO: Hizi ni baadhi ya mali za staa wa soka wa Nigeria atakayekuja Tanzania mwezi Septemba!

Kiungo wa kimataifa wa Nigeria anayeichezea klabu ya Chelsea ya Uingereza John Obi Mikel ambae pia anatajwa kuwa miongoni mwa wachezaji matajiri zaidi Africa na katika historia ya Nigeria, Obi Mikel amecheza klabu ya Chelsea kwa miaka mingi amefanikiwa kuchuma fedha nyingi lakini pia ana miliki nyumba ya kifahari Uingereza na magari ya kifahari.
1
Miongoni mwa magari anayomiliki ni Bentley Continental GTMercedes G WagonBlack Mercedes G 500 na Range Rover Sport. John Obi Mikel huenda atakuja Tanzania mwezi Septemba na timu yake ya taifa ya Nigeria kwani itacheza mchezo wa kuwania kufuzu katika michuano ya AFCON 2017 na timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars.
2
3
4
John-Obi-Mikel-car-r-300
mikelObi
John-Obi-Mikel-Bentley-Car-Black-Edition
Kwenye hii video hapo chini utaona nyumba anayomiliki iliyopo London Uingereza.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.