Bado tunaendelea kukupa ile exclusive interview ya kiungo wa kimataifa wa Rwanda anayeichezea klabu ya Dar Es Salaam Young African Haruna Niyonzima,
wengi tunafahamu unapopata hela nyingi kwa mara ya kwanza inavyokuwa,
unaweza ukatamani kufanya hiki mwingine kile kila kitu utataka utimize
kwa hela hiyo hiyo.
Hii ni ilivyokuwa kwa staa wa soka wa Yanga ambavyo alishika hela nyingi kwa mara ya kwanza ilikuwaje aliipataje unajua aliifanyia nii?
“Nilikuwa
na miaka 17 nilikuwa nacheza under 17 tulipata safari ya kwenda Sweden
tukapewa dola 500 kiukweli ni pesa ambayo nilikuwa nasema hii sijapewa
na mtu na sijamuomba mtu yaani nimefanya mazoezi nimepewa hela
nilifurahi sababu ni kitu ambacho sikutegemea, pesa nyingine niliowahi
kupata ni milioni 1 ya Rwanda”>>>Niyonzima
Hii hapa chini ni sauti ya Niyonzima, bonyeza play kuisikiliza
Note: Only a member of this blog may post a comment.