Thursday, August 20, 2015

Anonymous

PICHAZ: Shuhudia Professor JAY Alivyochukua Fomu ya Kugombea Ubunge 2015

Good news ninayotaka kukusogezea ni hii ya msanii mkongwe wa Hip Hop, Joseph Haule a.k.a Professor Jay naye amechukua fomu ya kuwania Ubunge kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)  katika jimbo la Mikumi mkoani Morogoro.
.
Taarifa hizi zimethibitishwa na msanii huyo kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram na kuandika..’Nimechukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la MIKUMI kwa mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Kilosa Mr. Idd Mshili ambaye ndie msimamizi msaidizi wa Uchaguzi.. Eeh MWENYEZI MUNGU NISAIDIE’ – Professor Jay

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.