Siasa zinaendelea kugusa headlines za habari kubwa kila siku, leo ninayo hii post nyingine kwa ajili yako mtu wanguvu.. hii inahusu Chama cha CCM ambapo Rais Kikwete akiwa ameongozana na baadhi ya viongozi wa Chama hicho ikiwemo Abdulrahman Kinana, Mkuu wa Mkoa Dar Said Meck Sadick, pamoja na Mgombea Urais wa CCM, Dk. John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza Samia Suluhu Hassan.
Hapa ninazo pichaz kutoka Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam ambapo Rais JK na Mgombea Urais Dk. Magufuli wamekutana na kuongea na Wazee wa Dar es Salaam.

Dk John Magufuli akiwa na Abdulrahman Kinana

Rais Kikwete akisalimia wazee wa Dar

Said Meck Sadick, Mkuu wa mkoa Dar es salaam

Msafara wa Rais Jk na Dk Magufuli akiondoka baada ya Mkutano Dar

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, SACP Suleiman Kova.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.

Note: Only a member of this blog may post a comment.