Zari the Bosslady hataki kutumia ukubwa wa ujauzito wake kukwepa mazoezi.
Mrembo huyo ambaye mwezi huu anaweza kumfanya Diamond awe baba kwa
mara ya kwanza, amepost picha Instagram akiwa kwenye gym iliyopo
nyumbani kwa mchumba wake huyo wakifanya mazoezi pamoja.
“The struggle is real…… Gotta keep that butt in place with the
squats. Phew!!!,” ameandika kwenye picha moja inayomuonesha akiwa
amenyanyua chuma kizito.
Katika picha nyingine Zari ameandika, “Well, it’s always easier with ‘man power’ #GymGrind #TeamWork.”
Hata hivyo mashabiki wake wamemuonya kuwa mazoezi hayo yanaweza kumletea madhara.
“That’s serious zari! You can’t carry heavy staff dumb bells and
carry heavy staff when you are pregnant !!! I am so shocked , yes you
can do minor exercises , walking , swimming tread mill just walking but
this is just too much,” aliandika shabiki mmoja.
“Mazoezi yakizidi mimba itachoropoka!! Take care zari,” aliandika mwingine.
“Please remember our little princess in ur womb.”

Note: Only a member of this blog may post a comment.