Huddah ni socialite ambaye anaishi maisha ya kifahari na controversial.
Maisha ya kifahari, gari la thamani aina ya Range Rover, safari za
nje zisizokwisha, kama hivi karibuni alienda kula bata katika kisiwa cha
Ibiza huko Hispania, hayo ndio maisha anayoishi socialite wa Kenya,
Huddah Monroe.
Lakini swali ambalo wengi huwa wanajiuliza ni biashara gani inayomuingizia pesa za kumpa kiburi mrembo huyo?
Huddah amejibu swali hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram, kwa
kupost picha ya shamba lake la ekari 10, na kuandika kuwa kilimo ndio
kinachompa pesa za kuishi maisha hayo.
“My day today , this ain’t for everyone . back to the hustle!
This is what I do for a living , this is Where I get my eggs , my bread
, my car, my house rent, etc on a 10 acre land ……. #FARMING ,
#FOODsupplier .I let my hands get dirty so I can chill on a YACHT in
Ibiza ️……. #TheyOnlySeeTheShine #TheyDunnoTheStruggle” aliandika kwenye moja ya picha hizo.
Katika hatua nyingine Huddah amepost picha yenye utata Instagram:

Note: Only a member of this blog may post a comment.