Ni zawadi gani ya ndoa unaweza kumnunulia wakala namba moja wa wachezaji duniani?
‘Super agent’ Jorge Mendes, wakala wa Jose Mourinho, James Rodriguez,
 Nani, Falcao, Angel Di Maria, Cristiano Ronaldo – anatarajia kumuoa 
mchumba wake wa siku nyingi – Sandra Barbosa huko nchini Ureno.
Cristiano
 Ronaldo, ambaye ni mteja mkuu wa Mendes, atakuwa ‘best man’ katika 
harusi hiyo, na taarifa kutoka nchini Ureno zinasema mshambuliaji huyo 
wa Madrid anatarajia kumpa zawadi ya ‘kisiwa’ atakachomnunulia huko 
nchini Ugiriki.
Kwa mujibu wa ripoti, Ronaldo anatarajia kutumia €50m kwa ajili ya kununua kisiwa hicho
Mendes is one of the richest men in Portugal, with a fortune believed to be in excess of €100 million.
Ronaldo won’t be the only footballer in attendance at the wedding, as he’ll be joined by James Rodriguez, Pepe and Radamel Falcao.
Ronaldo won’t be the only footballer in attendance at the wedding, as he’ll be joined by James Rodriguez, Pepe and Radamel Falcao.
Chelsea manager Jose Mourinho is also set to be at the event, along with Sporting CP coach Jorge Jesus.
Other leading football personalities invited include Florentino Perez, Roman Abramovich, Peter Lim and Joan Laporta.
 

 
 
 
 
Note: Only a member of this blog may post a comment.