Sunday, August 2, 2015

Anonymous

GUMZO LEO! Hii ni picha ya John Pombe Magufuli miaka 40 iliyopita akiwa shule!

Magufuli 
Alizaliwa mwaka October 29 1959 kwahiyo umri wake ni miaka 55 akiwa na headlines nyingi za uongozi alioanza nao mwaka 1995 alipokuwa pia naibu waziri wa kazi na leo hii ndiye mgombea Urais wa Tanzania 2015 kupitia chama cha mapinduzi CCM.
Hii picha yake hapa chini ni ya miaka 40 iliyopita akiwa Mwanafunzi wa kidato cha kwanza Katoke Seminari March 1975, sura imepotea au yuleyule?
TBT John Pombe Magufuli pic released July 26 2015

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.