Mitandao ya kijamii kama Facebook, Twitter na Instagram kwa siku hizi imerahisisha sana mambo, badala ya mtu kutafuta kuongea au kuhojiwa kwenye Radio, TV au Gazeti ndio asikike, anamaliza kiu yake yote kupitia account yake aliyonayo kama walivyofanya baadhi ya watu maarufu wa Tanzania hapa chini. 

Mwandishi wa habari Absalom Kibanda

Maneno ya Jerry Silaa aliyekua Meya wa Ilala

Mtangazaji wa siku nyingi kwenye Radio na TV Tanzania

Mwimbaji Shaa

Maneno ya Rapper Fid Q baada ya taarifa za msanii Shilole kufungiwa na baraza la sanaa Tanzania (BASATA) kutofanya muziki kwa mwaka mmoja.

Mwandishi wa habari za michezo kutoka CloudsFM

Idd Azzan kutoka Kinondoni.

Note: Only a member of this blog may post a comment.