Monday, August 3, 2015

Anonymous

HABARI NJEMA! Msanii DIAMOND PLATINUMZ Anyakua Tuzo Mbili za NAFCA 2015 Nchini Nigeria

Diamondss (2)Staa wa Bongo fleva Nasbu Abdul ‘Diamond Platnums’.
Staa wa Bongo fleva nchini anayetamba kwa sasa na wimbo wa ‘Nana’ huku akiitambulisha Tanzania Kimataifa zaidi katika tasnia muziki, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ wikiendi hii staa huyo wa ‘Nana’ ameshinda vipengele viwili kwenye tuzo za Nollywood and African People’ Choice Awards (NAFCA) za nchini Nigeria.
Diamondss (1)Vipengele alivyoshinda Diamond kwenye NAFCA ni Msanii bora wa mwaka na Wimbo bora wa mwaka.
Tuzo hiyo ni mafanakio zaidi kwa Diamond na tasnia nzima ya muziki nchini ikiwa ni siku chache tangu staa huyo anyakue tuzo za MTV MAMA 2015 katika kipengele cha Mtumbuizaji bora.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.