Taarifa za awali zilizotifikia chumba chetu cha habari zinaarifu ya kuwa wazee
wa CHADEMA wamekutana na kuzungumzo katibu wa chama Dr Wilbroad Slaa
nyumbani kwake kuhusu sintofahamu iliyojitokeza ambapo huenda Dr Slaa atarejea
kazini muda si mrefu kuendelea na majukumu yake ya kichama.
Picha na taarifa zaidi zitafuata kadri tutakavyozipata, endelea kufuatilia hapa hapa www.kandiliyetu.com. Hapo juu ni picha ya Dr Slaa na wazee wa chama hicho!
Picha na taarifa zaidi zitafuata kadri tutakavyozipata, endelea kufuatilia hapa hapa www.kandiliyetu.com. Hapo juu ni picha ya Dr Slaa na wazee wa chama hicho!

Note: Only a member of this blog may post a comment.