Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amechaguliwa na muungano wa wanafunzi wa Vyuo vikuu barani Afrika AASU kama rais bora barani Afrika mwaka 2014/2015.
Kabla ya Kenyatta kushinda, Rais Paul Kagame wa Rwanda alikuwa akishikilia nafasi hiyo.
Kenyatta alichaguliwa na maelfu ya wanafunzi kutoka barani Afrika walioshiriki kupiga kura hiyo.
Kenyatta
alichaguliwa kwa uwezo wake wa kujenga makubaliano kitaifa na kimataifa
na juhudi zake za kubadilisha sera na kutoa ufumbuzi katika maswala
yanayowaathiri wakenya.

Note: Only a member of this blog may post a comment.