Thursday, July 2, 2015

Anonymous

Davido amepost picha yake na Diamond, kaandika na haya maneno kuhusu #MTVMAMA2015..


Davido
Ndani ya wiki mbili zilizopita staa wa muziki toka Nigeria, Davido aliweka post ya Bendera ya Tanzania kwenye ukurasa wake @Instagram na kuweka alama ya LOVE!! 

Saa chache zilizopita kaweka post nyingine kwenye ukurasa wake @Facebook, amepost picha yake na Diamond iliyopigwa wakati wanaperform kwenye stage mwaka 2014  South Africa.
“PERFORMING AGAIN LIKE THIS AT ‪#‎MTVMAMA2015‬ !! TOO MUCH BLESSINGS…” >>> Haya ndio maneno ya Davido kwenye post hiyo>>> @IamDavido 11694958_403436209857010_4888931845749158669_n
Na hii ndio post yenyewe ya Davido kwenye page yake Facebook.
PERFORMING AGAIN LIKE THIS AT #MTVMAMA2015 !! TOO MUCH BLESSINGS…
Posted by IamDavido on Wednesday, July 1, 2015
Kwenye list ya mastaa watakaoperform Durban, South Africa kwenye Ukumbi wa Durban International Convention Centre July 08 2015 stage ya #MTVMAMA2015 yumo Bucie, Yemi Alade, Cassper Nyovest, Davido na Diamond Platnumz.
MTV

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.