Mariah Carey amepiga mweleka wa nguvu baada ya kuponzwa na viatu virefu
alipokuwa matembezini na mpenzi wake bilionea mmiliki wa
Cassino. Mwimbaji huyo mwenye umri wa miaka 45 kwa sasa na mama wa watoto
wawili aliozaa na msanii Nick Canon na kuachana, wamekuwa wakidhurura
pamoja na kujibebisha kwa mapenzi yao mapya na bilionea huyo!




Note: Only a member of this blog may post a comment.