Friday, July 3, 2015

Anonymous

WATOTO WA ZARI THE BOSS LADY WAMSUBIRIA MDOGO WAO KWA HAMU! -PICHAZ

Watoto wa mama mrembo Afrika mashariki na kati Zari the boss lady wameonekana kufurahia mimba ya mama yao na kumngojea kwa hamu mdogo wao huyo. Mtoto wa mwisho wa wifi/shemeji huyo wa taifa la Bongoland amekuwa akishika tumbo la mama yake kusikiliza jinsi mdogo wao anavyopumua ikiwa ishara ya upendo na kumkaribisha mtoto wa star Diamond kwenye familia hiyo yakishua!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.