Friday, July 3, 2015

Anonymous

KAULI SITA NZITO KWA TAIFA NA CHAMA CHA ACT TOKA KWA ZITTO ZUBERI KABWE!


  1. Lowasa kwenda ACT ni ngumu kutokana na sera ya chama hicho itambidi aachane na biashara kama anataka kuwa kiongozi wa umma.Pia ahamini mgombea huyo kuihama CCM ameitumikia muda mrefu na hafanyi siasa za kindaki ndaki. 
  2. Zitto Kabwe hato pokea mafao ya wabunge ya millioni 230 bali atapokea atakayo stahili bunge la tisa alipokea milioni 72 kwa sasa wabunge wameongezewa asilimia mia tatu ,atakachopokea hakitazidi milioni 90.
  3. ACT itasimamisha mgombea wa urais uchaguzi wa mwaka 2015,fomu ya ubunge elfu 50 ya udiwani elfu kumi.
  4. Tarehe 4 mkutano wa ACT Mwembe Yanga atataja mafisadi walioficha pesa nchini Uswizi. 
  5. Peter Serukamba ni kaka yake amenyonya ziwa moja na kaka yake wa damu ila hatomwachia jimbo lolote la Kigoma ACT watashinda yote.
  6. Moses Machali kuhamia ACT watu wangoje bunge livunjwe watashuhudia wenyewe.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.