Thursday, July 2, 2015

Anonymous

PICHAZ: Mwanafunzi wa Chuo kakwepa madeni, kaja kuishi kwenye hii ghorofa yake ndogondogo!


Una ndoto ya kumiliki Mjengo wa aina gani? Kila mtu na ndoto yake, ninayo story kutoka Marekani.. mmiliki wa huu mjengo anaitwa Joel Weber na ni mwanafunzi wa University of Texas, Austin Marekani.

Hesabu yake ilikuwa hivi; aliona kukaa kwenye Campus za Chuo itafanya awe na deni kubwa sana la kulipa baada ya kumaliza Chuo, kaingia zake mtaani kajiongeza na huu ndio mjengo wake alioamua kuishi ili kukwepa hayo madeni mengine yasiyo ya lazima.



Hii ni ghorofa, hizi ni ngazi kuelekea juu kwenye kitanda ambako jamaa analala !!

Mwonekano wa ghorofa yake kwa nje.

Hiyo ni nyumba ndogondogo mtu wangu, lakini ndio hivyo jamaa kaona panamtosha hapohapo !!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.