Friday, July 31, 2015

Anonymous

NORA: Sifikirii Mapenzi Tena!

NORA
Mwigizaji wa filamu za Kibongo, zao la Kundi la Kaole, Nuru Nassoro ‘Nora’.
Brighton Masalu
Mwigizaji wa filamu za Kibongo, zao la Kundi la Kaole, Nuru Nassoro ‘Nora’ amesema kwa sasa hafikirii tena kuingia kwenye uhusiano wa mapenzi na kwamba anaamua kuelekeza nguvu na akili zote kwenye kazi. 

Nora ameliambia Amani kwamba, ameamua kuwa hivyo baada ya kuambulia maumivu mara nyingi katika mapenzi, jambo ambalo limechangia kumdidimiza kisanii.

“Sitaki tena kusikia habari za mapenzi, kwa sasa naelekeza nguvu zote kwenye kazi tu,” alisema Nora.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.