Ikiwa zimebaki siku tisa kabla tuzo za MTV Africa Music Awards 2015,
kituo cha runinga cha MTV Base kimetangaza majina ya wasanii wanaowania
kipengele cha “Best International Act”.
Mastaa wa muziki kutoka Marekani waliotajwa kushindania kipengele
hicho ni Beyonce, Chris Brown, Rihanna, Big Sean pamoja na Nikki minaj.
Tuzo za MAMA zitatolewa July 18 huko Durban, Afrika Kusini.

Note: Only a member of this blog may post a comment.