Friday, July 3, 2015

Anonymous

MAGAIDI Pwani! Rais JK ametuachaje? Mzozo wa Bungeni..Fomu za Urais zimerudi CCM? #PowerBreakfast

Rais JK amesema ametuacha vizuri kwa kufanikiwa kupambana na Malaria kuhusu ugonjwa wa Malaria TZ, Vichwa vingi vya habari vina stori kuhusu UKAWA kuchafua hali ya hewa Bungeni. 

Pazia la urudishaji fomu CCM limefungwa, wanne washindwa kurudisha… Mzee Pius Msekwa amesema Kikao cha kujadili Wagombea CCM kitaendelea ila hajui kitaisha lini, wakazi wa Temeke wamesema hawataki mgawanyo wa Majimbo, Wakala wa Majengo amesema wataanza ujenzi wa Ghorofa nne kwa siku nane TZ. 

Magaidi watano wamekamatwa mkoa wa Pwani, mmoja akutwa akinywa supu ya Kuku, Uandikishwaji wa Wapigakura kwa BVR kuanza Julai 7 mpaka 25 Mikoa ya Dar na Pwani.. Stori zote kubwa ziko hapa chini kwenye hii sauti niliyorekodi Uchambuzi wa Magazeti #PowerBreakfast

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.