Wednesday, July 15, 2015

Anonymous

JEURI YA PESA: CHUMBA CHA MTOTO WA AUNT, COOKIE USIPIME!

CHUMBA cha mtoto wa mastaa Aunt Ezekiel na Moses Iyobo aitwaye Cookie usipime, kwani kimenakshiwa kwa gharama inayofikia shilingi milioni saba, ambazo zimetumika kwa kuwekewa vifaa maalum.
“Gharama kubwa iliyotumika ni kumtenge nezea vifaa maalumu kama bafu na kitanda pamoja na vitu vingine vya watoto vitakavyomfanya mtoto wetu ajisikie vizuri muda wote,” alisema Aunt Ezekiel, staa wa filamu Bongo.
Staa huyo alisema yeye na mzazi mwenzake hawaoni shida kuingia gharama kwa ajili ya mtoto wao kwani anawapa faraja hivyo watatumia nguvu nyingi na kujituma kuhakikisha mambo yote juu yake yanakwenda vizuri.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

1 comments:

Write comments
Unknown
AUTHOR
July 15, 2015 at 4:20 PM delete

Mnatia aibu,tukitaka kuonyesha na sisi mtajiona mavi,kwa wazazi wenu mbona hamuonyeshi. Nisiejulikana

Reply
avatar

Note: Only a member of this blog may post a comment.