CHUMBA cha mtoto wa mastaa Aunt
Ezekiel na Moses Iyobo aitwaye Cookie usipime, kwani kimenakshiwa kwa
gharama inayofikia shilingi milioni saba, ambazo zimetumika kwa kuwekewa
vifaa maalum.
“Gharama kubwa iliyotumika ni kumtenge
nezea vifaa maalumu kama bafu na kitanda pamoja na vitu vingine vya
watoto vitakavyomfanya mtoto wetu ajisikie vizuri muda wote,” alisema
Aunt Ezekiel, staa wa filamu Bongo.
Staa huyo alisema yeye na mzazi mwenzake
hawaoni shida kuingia gharama kwa ajili ya mtoto wao kwani anawapa
faraja hivyo watatumia nguvu nyingi na kujituma kuhakikisha mambo yote
juu yake yanakwenda vizuri.
1 comments:
Write commentsMnatia aibu,tukitaka kuonyesha na sisi mtajiona mavi,kwa wazazi wenu mbona hamuonyeshi. Nisiejulikana
ReplyNote: Only a member of this blog may post a comment.