Monday, June 15, 2015

Anonymous

VIDEO : DUNIA INA MAMBO! KUTANA NA MBWA HAWA, HAWAWEZI KULA CHAKULA CHOCHOTE KABLA YA KUSALI...

Mbwa ni miongoni mwa wanyama wenye ukaribu sana na binadamu na kwa nchi za wenzatu mbwa amekua akithaminiwa sana kama binadamu wengine kuanzia chakula, malazi mpaka mavazi.

Wapo watu ambao hutumia kiasi kikubwa cha fedha kuwahudumia mbwa na mara nyingi mbwa hutumika kama walinzi katika nyumba za watu.

Nimeoma nikuletee hii video inayoonyesha jinsi mbwa anavyoweza kukumbuka kusali kabla ya kula kila siku.
Je wewe unakumbuka kusali kabla ya kula kila siku?
Itazame video hiyo hapa hapa chini....

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.