Wednesday, June 17, 2015

Anonymous

USTAA KAZI! RAMSEY NOUAH ALIA NA ‘MEDIA’

Staa anayekimbiza katika lamu Nollywood, Ramsey Nouah.
Lagos, Nigeria STAA anayekimbiza katika lamu Nollywood, Ramsey Nouah amevililia vyombo vya habari ‘media’ kuwa vinamharibia ndoa yake.
Akichonga na Jarida la Vanguard, Ramsey anayebamba na lamu ya 30 Days in Atlanta alisema amekuwa ngao katika familia yake katika kuikinga dhidi ya media.
“Media zinaharibu sana ndoa. Lakini asante wameshindwa na ndoa yangu sasa ina miaka 14 nikiwa na watoto wanne. Nilimwambia mke wangu kaa mbali na media nitapambana nao. Kama hawatakuona, hawatakuwa na cha kusema,” Ramsey aliliambia jarida hilo.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.