Soudy Brown leo kasika akizungumza na msanii wa Bongo Fleva Msami baada ya kuwepo na uvumi kuwa msanii huyo amempa ujauzito msanii wa bongo movie Irene Uwoya.
Awali alikanusha taarifa lakini baadaye
akadai kuwa hana uhakika na endapo ni kweli basi ni ya kwake huku
akimtaka Soudy amtafute mwenyewe ali ajue ukweli.
Isikilize hapa chini kwa kubonyeza play au download mdau wangu..

Note: Only a member of this blog may post a comment.